Jisi Ya Kutengeneza Card Ya Mastercard na VISA kwa Mitandao Ya Simu VODACOM, TIGO &AIRTEL

MASTERCARD MTANDAO WA TIGO Kutengeneza Card ya Mastercard kwa Mtandao wa Tigo haiitaji Gharama Yoyote Ile. Ili kuitumia Card Yako ya Mastercard kwa Mtandao wa Tigo itakubidi uweke Salio kwenye Lai…