MAGEMU MAZURI YA KUCHEZA KWENYE SIMU (ANDROID) 22 Nov, 2023 Kama wewe ni mpenda magemu na unatumia simu yako ya Android kucheza magemu basi hapa tumekuandalia orodha ya magemu machache ambayo unaweza ya cheza na ukafurahia zaidi muda wako wa kucheza magemu …